- 534 viewsDuration: 3:33Mashirika mbalimbali yameongeza juhudi za kupambana na magonjwa yaliyopuuzwa kama vile kichocho na funza katika Wadi za Kinyoro na Keiyo, Kaunti ya Trans Nzoia. Eneo hilo latajwa kuwa miongoni mwa yale yaliyoathiriwa zaidi na maradhi hayo, huku wataalamu wakionya kuwa uhaba wa maji safi na vyoo ni kizingiti kwa mafanikio ya kampeni hiyo.