- 1,394 viewsDuration: 41sImekuwa pigo kwa serikali baada ya mahakama kusimamisha uuzaji huo hadi kesi iliyowasilishwa mahakamani itasikilizwa na kuamuliwa. Majaji Francis Gikonyo, Roselyn Abuti na Tabitha Ouya wanaosikiliza kesi hiyo wanasema kuwa kesi iliyowasilishwa inaibua maswali mazito kuhusu uuzaji wa asilimia 15 ya hisa za serikali kwenye kampuni hiyo na haiwezi tu kupuuzwa na kusema kuwa, kesi hii ina umuhimu wa kitaifa na agiza hili halitachelewesha kusikilizwa kwake...