Skip to main content
Skip to main content

Mahakama kutoa uamuzi kuhusu kuhojiwa kwa mume wa marehemu Dkt. Victoria Mutiso

  • | Citizen TV
    2,500 views
    Duration: 1:26
    Mahakama Kuu inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu iwapo mume wa marehemu Dkt. Victoria Mutiso, Profesa David Ndetei, atahojiwa na mawakili wa mkewe wa zamani, Rose Mbithe, pamoja na wanawe Chris Mulwa na Angela Mulwa.