3 Aug 2026 1:19 pm | Citizen TV 1,138 views Duration: 1:08 Mahakama ya Nairobi inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu iwapo washukiwa wa mauaji ya Dkt. Victoria Mutiso, Rose Mbithiwe Mulwa na mwanawe Chris Mulwa, wataachiliwa kwa dhamana au wataendelea kuzuiliwa rumande.