Skip to main content
Skip to main content

Mahakama Kuu mjini Kapsabet yasikiza kesi kuhusu uchimbaji migodi haramu

  • | Citizen TV
    477 views
    Duration: 1:45
    Mahakama Kuu mjini Kapsabet imeanza kusikiliza rasmi kesi inayowakabili watu watano wanaodaiwa kuhusika na uchimbaji wa migodi kinyume cha sheria uliosababisha vifo vya wafanyakazi watatu katika eneo la Karebe, Tinderet, miaka mitatu iliyopita.