Skip to main content
Skip to main content

Mahakama kuu yasitisha kuanzishwa kwa vituo vya Ebola chini ya makubaliano ya kigeni

  • | Citizen TV
    1,525 views
    Duration: 48s
    Serikali yapata pigo mahakamani baada ya mahakama kuu kutoa maagizo ya kuzuia kuanzishwa au uendeshaji wa kituo chochote cha Ebola, karantini, kutengwa au matibabu nchini Kenya chini ya makubaliano yoyote na serikali ya marekani au chombo kingine chochote cha kigeni.