MAGEUZI SEKTA YA AFYA
Mahakama Kuu imesikiliza mawasilisho ya mwisho katika kikao cha mtandaoni cha kesi inayopinga uhalali wa Bima ya Afya ya Jamii na Mamlaka ya Afya ya Jamii, huku Seneta Okiya Omtatah na walalamishi wengine wakisema kwamba mfumo huo mpya wa ufadhili wa afya ni kinyume cha katiba.Hata hivyo, serikali imetetea marekebisho hayo, ikisema yalipitishwa kisheria na yanalenga kuimarisha huduma za afya kwa wote.Mwandishi wetu wa Mahakama Letuaa Debra ana maelezo zaidi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive