1 Oct 2026 10:22 am | Citizen TV 2,663 views Duration: 1:04 Mahakama ya Mombasa imeagiza washukiwa wawili akiwemo raiya mmoja wa tanzania kusalia korokoroni kwa muda wa siku 21,kuhusu tuhuma za kuwalaghai wananchi kwa kuwapulizia dawa za kupoteza fahamu.