Skip to main content
Skip to main content

Mahakama ya Kibra yaamuru mshukiwa wa ubakaji azuiliwe

  • | Citizen TV
    548 views
    Duration: 1:56
    Mahakama ya Kibra imeamuru kuzuiliwa kwa mshukiwa mwenye asili ya Marekani anayehusishwa na kisa cha kumteka nyara na kumdhulumu kingono msichana wa miaka 19. Mshukiwa huyo anadaiwa kumhadaa mwanafunzi huyo wa mwaka wa pili wa Chuo Kikuu cha JKUAT hadi katika hoteli moja mtaani Westlands, ambako alitekeleza uhalifu huo. Imearifiwa kuwa wawili hao walipatana kwenye mtandao wa Tinder kabla ya kukutana. Franklin Wallah na taarifa zaidi.