Skip to main content
Skip to main content

Mahakama ya Milimani kutoa uamuzi kuhusu kuzuiliwa kwa Angela Mulwa

  • | Citizen TV
    1,577 views
    Duration: 2:18
    Mahakama ya Milimani inatoa uamuzi kuhusu mamlaka ya kusikiliza ombi tofauti lililowasilishwa na upande wa mashtaka kutaka kumzuilia mshukiwa Angela Mulwa kwa siku 14 kuhusiana na kifo cha Dkt. Victoria Mutiso. daktari Victoria Mutiso, ambatye taryari amezikwa, aliuawa kwa kupigwa risasi akielekea kazini hapa jijini Nairobi.