- 20,626 viewsDuration: 1:15Mahakama ya Nakuru yamhukumu gavana wa kaunti ya Bomet Hillary Barchok na maafisa wengine kumi , kwa siku 30 jela baada ya kukosa kutii amri ya mahakama kwenye mzozo wa wafanyakazi ambao umekuwa ukiendelea kwa miezi kadhaa.