- 16,685 viewsDuration: 2:24Aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua amepata pigo baada ya mahakama ya upeo kutupilia mbali ombi la kutaka kusitisha kesi ya kubaduliwa kwake katika mahakama kuu. Mahakama hiyo imesema kuwa haina mamlaka ya kuingilia kesi iliyoko katika mahakama za chini. Majaji pia walitupilia mbali ombi la bunge la kitaifa kutaka rufaa ya Gachagua itemwe