Skip to main content
Skip to main content

Mahakama yaidhinisha usajili wa Linda Mwananchi

  • | Citizen TV
    20,955 views
    Duration: 2:43
    Ni afueni kwa Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna baada ya Mahakama ya kutatua migogoro ya Vyama vya Siasa kuidhinisha Mrengo wa Kisiasa wa Linda Mwananchi kusajiliwa kama chama na kumtaka msajili wa vyama vya kisiasa kutenga jina la chama hicho katika chini ya muda wa siku saba. Mahakama hiyo imebaini kwamba uamuzi wa msajili wa vyama vya kisiasa John Cox Lorionokou kukataa kusajili chama hicho ni Kinyume na Sheria na unyanyasaji wa haki za viongozi wa Linda mwananchi.