- 889 viewsDuration: 1:36Mahakama yakamilisha vikao vyake msituni Kwa Binzaro alhamisi huku mashahidi zaidi wakijitokeza kueleza kilichotokea msituni humo kwenye kesi ya mauaji ya halaiki ya waumini wa dhehebu lililoongozwa na mhubiri tata Paul Nthenge Mackenzie.