Skip to main content
Skip to main content

Mahakama yamtaka Ruto kuteua baraza jipya la mawaziri ndani ya miezi minne

  • | Citizen TV
    9,520 views
    Duration: 1:52
    Mahakama Kuu imemtaka Rais William Ruto kuteua baraza jingine la mawaziri ndani ya muda wa miezi minne, ikisema kuwa halijafikia matakwa ya thuluthi mbili ya jinsia moja. Mahakama imebaini kuwa baraza hilo lina wanawake saba kati ya mawaziri 25, hali inayokiuka masharti ya kisheria kuhusu uwakilishi wa jinsia. Emmanuel Too anaarifu.