Skip to main content
Skip to main content

Mahakama yamzuia seneta wa Kisii Richard Onyonka kurudia matamshi dhidi ya gavana Simba Arati

  • | Citizen TV
    19,073 views
    Duration: 1:53
    Mahakama kuu mjini Kisii imemzuia seneta wa Kisii Richard Onyonka kurudia matamshi aliyoyatoa dhidi ya Gavana wa kaunti ya Kisii Simba Arati kutokana na mfumo wa uongozi wake.