Skip to main content
Skip to main content

Mahakama yaondoa kesi ya ubadhirifu dhidi ya Elijah Wachira na Robert Ingarisa

  • | Citizen TV
    703 views
    Duration: 37s
    Mahakama imeondoa kesi dhidi ya aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Afya ya Jamii (SHA), Elijah Wachira, na mshtakiwa mwenzake Robert Ingarisa, iliyowakabili kwa madai ya ubadhirifu wa shilingi milioni 17.5 za mamlaka hiyo.