Skip to main content
Skip to main content

Mahakama yasitisha kwa muda kanuni mpya za ukaguzi wa magari za NTSA

  • | Citizen TV
    1,023 views
    Duration: 1:46
    Mahakama ya Kiambu imesitisha kwa muda utekelezaji wa kanuni mpya za Mamlaka ya Kitaifa ya Uchukuzi na Usalama Barabarani (NTSA) kuhusu ukaguzi wa magari ya kibinafsi. Uamuzi huo umetolewa leo baada ya kesi ya kupinga kanuni hizo kuwasilishwa mbele ya mahakama, huku maagizo hayo yakitajwa kuwa kinyume na sheria. Stephen Letoo anavyoarifu.