Skip to main content
Skip to main content

Mahakama yasitisha mpango wa kituo cha Ebola, wanaharakati waandamana

  • | Citizen TV
    1,809 views
    Duration: 3:14
    Serikali imeendelea kupata pigo huku Mahakama Kuu ikishikilia agizo la awali la kusitisha mpango wa kuanzishwa kwa kituo cha karantini cha kuwatenga wagonjwa au kuwatibu Wamarekani walioambukizwa Ebola. Mahakama pia imeiagiza serikali kuweka wazi mikataba yote, makubaliano, mawasiliano na nyaraka nyingine zinazohusiana na mpango huo wa Kenya na Marekani. Hayo yakijiri, baadhi ya wanaharakati walifanya maandamano ya kupinga mpango huo katika afisi za Wizara ya Afya.