- 2,930 viewsDuration: 3:06Idara ya huduma kwa polisi imeahirisha shughuli ya kuwasajili makurutu wa polisi, iliyoratibiwa kuanza hapo kesho. Hii ni baada ya Mahakama Kuu kusitisha shughuli hiyo. Akizungumza katika hafla ya jukwaa la usalama jijini Nairobi, Waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen amerai mahakama kuondoa agizo hilo akisisitiza kuwa taifa hili linahitaji maafisa zaidi wa usalama ili kukabili uhalifu. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews