Skip to main content
Skip to main content

Mahakama yataka inspekta generali wa polisi, mwanasheria mkuu na NPS kujieleza

  • | Citizen TV
    4,850 views
    Duration: 1:37
    Inspekta generali wa polisi, mwanasheria mkuu na idara ya NPS wametakiwa kufika kortini na kutoa sababu kwa nini wasichukuliwe hatua za kinidhamu kwa kukosa kufuata amri za korti.