Skip to main content
Skip to main content

Mahakama yatupilia mbali kesi dhidi ya bajeti ya Bunge la Kaunti ya Busia

  • | Citizen TV
    227 views
    Duration: 1:40
    Ni afueni kwa wafanyakazi wa bunge la kaunti ya Busia baada ya mahakama kuu ya Busia kutupilia mbali kesi iliyofikishwa mahakamani humo kupinga kupitishwa kwa bajeti ya mwaka wa kifedha 2026/27 ya shilingi milioni 800.