Skip to main content
Skip to main content

Mahakama yawataka DCI kujiwasilisha binafsi kuhusu ghasia Vihiga

  • | Citizen TV
    2,311 views
    Duration: 1:52
    Mahakama imewataka maafisa wa DCI kujiwasilisha binafsi mahakamani katika kesi inayowahusu washukiwa wawili wanaotuhumiwa kuhusika na uhuni wakati wa ghasia za Vihiga.