Skip to main content
Skip to main content

Mahakama yazuru msitu wa Shakahola kusikiliza ushahidi

  • | Citizen TV
    2,595 views
    Duration: 3:40
    Mahakama Kuu leo imezuru msitu wa Shakahola na kujionea mazingira yaliyokuwepo wakati wa matukio yanayohusishwa na vifo vinavyodaiwa kutokana na itikadi kali za kidini. Katika ziara hiyo, chifu wa eneo hilo Raymond Charo alipata wakati mgumu kueleza mazingira yaliyosababisha utoaji wa cheti cha mazishi kwa mmoja wa waathiriwa. Wakati huo huo, shahidi mmoja alieleza mahakama jinsi mikutano ilivyokuwa ikiandaliwa na kusimamiwa na Paul Mackenzie kabla ya matukio hayo kutokea.