Skip to main content
Skip to main content

Maimamu katika kaunti ya Uasin Gishu walalamikia uhaba wa makadhi na mrundiko wa kesi

  • | Citizen TV
    1,358 views
    Duration: 1:42
    Maimamu katika Kaunti ya Uasin Gishu wameelezea wasiwasi wao mkubwa kuhusu ongezeko la mrundiko wa kesi katika Mahakama za Kadhi nchini, wakihusisha hali hiyo na uhaba wa makadhi unaowakumba kwa sasa.