Skip to main content
Skip to main content

Majambazi wamuua kasisi wa PCEA Tabuga Nakuru, polisi waanza uchunguzi

  • | Citizen TV
    6,005 views
    Duration: 3:19
    watu wawili wameuwawa katika kijiji cha Luanda kaunti ya Vihiga baada ya kupigwa risadi na maafisa wa polisi. Tukio hili likijiri kufuatia mzozo uliozuka baada ya waendeshaji bodaboda mjini humo kudai kuhangaishwa na polisi na kukamatwa kiholela.