- 11,591 viewsDuration: 2:18Mtu mmoja alijeruhiwa huku mali ya thamani isiyojulikana ikiharibiwa baada ya majambazi kuvamia nyumba kadhaa katika kijiji cha Kamrongo, Kaunti ya Kisumu. Picha za kamera za CCTV zilionyesha majambazi hao wenye silaha wakipanda kuta za nyumba kabla ya kutekeleza uvamizi na kuondoka na mali mbalimbali. Wakazi wa eneo hilo sasa wamemtaka Inspekta Jenerali wa Polisi kuongeza maafisa wa usalama ili kukabiliana na ongezeko la visa vya uhalifu. Laura Otieno ana taarifa zaidi.