Mradi wa kuhifadhi na kuzuia maji katika mto Miu eneo la Mwala, kaunti ya Machakos, kimegeuza mto wa msimu kuwa chanzo cha maji cha kudumu, na kufufua shughli za unyunyizaji maji mashambani na usambazaji wake majumbani.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya