- 1,087 viewsDuration: 7:32Majonzi ya familia zilizowapoteza wapendwa wao kwenye maandamano ya kupinga mswada wa fedha wa mwaka wa 2024 yangali yanachuruzika nyusoni mwaka mmoja baadaye, huku maandimisho ya kumbukumbu ya matukio hayo yalitonesha makovu. Mwaka huu wa 2025 pia ulitoa fursa ya kuangazia madhila ya wanawake wanaougua saratani, kando na dhiki ya familia zilizolazimika kuishi juu ya maji huko Naivasha