Skip to main content
Skip to main content

Makachero wakagua gari katika uchunguzi wa kutekwa kwa Kiprotich

  • | Citizen TV
    4,717 views
    Duration: 3:09
    Makachero wa kitengo maalum cha uchunguzi kutoka Nakuru wamefanya ukaguzi wa gari la Mhariri wa kampuni ya Standard Group, Alex Kiprotich, huku wakiendelea na uchunguzi wa kuwatafuta waliohusika na kutekwa KWAKE. Kiprotich alifika kituoni humo akiandamana na wakili wake pamoja na dereva, na kuandikisha taaarifa rasmi kwa polisi kuhusiana na tukio hilo. Haya yanajiri huku Waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen, akiFupilia mbali madai ya kuwepo kwa kikosi maalum kinachoendesha oparesheni zake nje ya mfumo rasmi wa uongozi wa polisi.....