Skip to main content
Skip to main content

Makanisa yajitenga na madai ya uponyaji yanayotolewa na mhubiri David Owuor

  • | Citizen TV
    5,705 views
    Duration: 2:24
    Baraza kuu la makanisa nchini Kenya, NCCK limejitenga na madai ya uponyaji yanayotolewa na mhubiri David Owuor. Kulingana na baraza la NCCK, hakuna muhubiri mmoja mwenye mamlaka ya uponyaji, likiwatahadharisha wakenya dhidi ya kuhadaiwa.