24 Aug 2026 1:11 pm | Citizen TV 598 views Duration: 2:40 Makasisi wanawake katika kaunti ya samburu, wamekashifu hali ya kukithiri kwa wahuni katika mikutano ya Kisiasa,wakisema endapo matukio hayo hayatathibitiwa huenda yakalitumbukiza taifa kwenye machafuko .