Skip to main content
Skip to main content

Makueni: mzozo wa ardhi wailazimu familia moja kumzika mpendwa wao karibu na Mto

  • | NTV Video
    1,243 views
    Duration: 2:45
    Mzozo wa muda mrefu wa ardhi umeilazimu familia moja katika eneo la Mathanguni, Nzaui, Kaunti ya Makueni, kumzika mpendwa wao kwenye kipande cha ardhi kilicho karibu na Mto Kwa Kaingu, baada ya kukosa eneo lingine la maziko. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya