4 Sep 2026 1:56 pm | Citizen TV 1,147 views Duration: 1:05 Malkia Strikers ya Kenya itachuana na Misri katika fainali ya voliboli, huku timu hizo zikisaka tiketi ya kushiriki Michezo ya Olimpiki ya 2028. Mechi hiyo inatarajiwa kuchezwa saa kumi na mbili jioni