- 152 viewsDuration: 1:42Zikiwa zimesalia siku 11 kabla ya kuanza kwa Mashindano ya Voliboli ya Mataifa ya Afrika, timu ya Kenya Malkia Strikers imeongeza maandalizi katika Ukumbi wa Mazoezi wa Ndani wa Kasarani. Benchi ya kiufundi bado haijatangaza kikosi cha mwisho kitakachoiwakilisha Kenya katika mashindano hayo.