Skip to main content
Skip to main content

Mama aliyepigwa risasi kimakosa adai haki katika kaunti ya Wajir

  • | Citizen TV
    410 views
    Duration: 2:05
    Familia moja katika Kaunti ya Wajir waitaka serikali kuharakisha uchunguzi kuhusiana na kisa ambapo mwanamke mmoja ajeruhiwa kwa risasi akiwa ndani ya nyumba yake.