19 Jun 2026 10:13 am | Citizen TV 3,898 views Duration: 1:32 Mama mmoja adaiye kupigwa na kujeruhiwa vibaya na afisa wa KDF huko Gilgil mwaka wa 2025 asema kuwa hajasaidiwa na polisi katika juhudi za kutafuta haki wala mshukiwa kukamatwa.