Skip to main content
Skip to main content

Mama na wanawe wawili kushtakiwa kwa mauaji ya Dkt. Victoria Mutiso

  • | Citizen TV
    1,575 views
    Duration: 1:19
    Mama na wanawe wawili sasa wanatarajiwa kujibu mashtaka ya mauaji ya Daktari Victoria Mutiso. Rose Mbithe na wanawe, wakili Angela Mulwa na nduguye Chris Mulwa, wanatarajiwa kujibu mashtaka baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka kuafikia mashtaka dhidi yao. Angela alikamatwa tena katika Mahakama ya Milimani alipofika kwenye kikao cha kusikilizwa kwa kesi iliyopinga uwezo wa mahakama kuendelea kumzuilia kuhusiana na mauaji hayo.