Skip to main content
Skip to main content

Mamia ya familia Wajir zafaidika na kambi ya matibabu

  • | Citizen TV
    203 views
    Duration: 54s
    Mamia ya familia zisizojiweza katika Kaunti ya Wajir, zimefaidika na kambi ya matibabu ya siku mbili iliyoandaliwa na shirika moja lisilo la serikali.