Skip to main content
Skip to main content

Mamia ya wakazi wa Wajir wanufaika na kambi ya bure ya upasuaji wa macho

  • | Citizen TV
    313 views
    Duration: 1:23
    Mamia ya wakazi wa Kaunti ya Wajir wamepata matumaini mapya ya kurejeshewa uwezo wao wa kuona kupitia kambi ya bure ya upasuaji wa jicho.