Skip to main content
Skip to main content

Mamlaka ya chakula na dawa Rwanda yatoa marufuku uuzaji wa zaidi ya aina 50 za pombe

  • | Citizen TV
    3,142 views
    Duration: 1:59
    Kufuatia tahadhari ya mamlaka ya chakula na dawa ya Rwanda na kusimamishwa kwa muda uingizaji, usambazaji, na uuzaji wa zaidi ya aina 50 za pombe kutoka nchi mbalimbali zikiwemo Kenya, Uganda, Tanzania, Burundi, India, na Poland, kwasababu za usalama wa afya ya umma,