- 415 viewsDuration: 8:15Mamlaka ya kuchunguza utendakazi wa polisi ipoa imeandaa vikao na wahusika wakuu katika utendakazi wa polisi ili kupunguza visa vinavyowahusisha maafisa wa polisi. Vikao hivyo vinahusisha wakuu wa polisi, mashirika ya kutetea haki pamoja na kiongozi wa mashtaka ya umma. Mwenyekiti wa ipoa duncan oburu ojwang anaongoza vikao hivyo