Skip to main content
Skip to main content

Mamlaka ya NACADA yataka wadau kushirikiana zaidi

  • | Citizen TV
    137 views
    Duration: 1:04
    Mamlaka ya Kitaifa ya Kupambana na Matumizi ya Dawa za Kulevya na Pombe Haramu (NACADA) imetoa wito kwa wadau mbalimbali kushirikiana katika vita dhidi ya pombe haramu na matumizi ya mihadarati nchini. Akizungumza mjini Kapsabet, mkurugenzi wa NACADA Benjamin Kuto alielezea wasiwasi wake kuhusu ongezeko la matumizi ya dawa za kulevya miongoni mwa vijana katika kaunti ya Nandi.