- 158 viewsDuration: 1:46Mamlaka ya udhibiti wa bima imetoa mafunzo kwa zaidi ya watu elfu moja katika kaunti ya Narok ili kuimarisha uelewa wa wananchi kuhusu huduma za bima. Mafunzo hayo yanalenga kuongeza uhamasishaji kuhusu umuhimu wa bima, haki za watumiaji na namna ya kupata huduma mbalimbali za bima nchini.