Skip to main content
Skip to main content

Maonyesho ya biashara na ubunifu ya Pwani yaendelea Hola

  • | Citizen TV
    116 views
    Duration: 5:20
    Maonyesho ya biashara na ubunifu ya Jumuiya ya kaunti za Pwani unaendelea katika mji wa Hola huko Tana River, yakiwakutanisha wafanyabiashara, wabunifu, wawekezaji, viongozi wa serikali pamoja na wadau mbalimbali wa maendeleo.