3 Sep 2026 10:32 am | Citizen TV 884 views Duration: 7:46 Maonyesho ya kilimo kaunti ya Mombasa yanaendelea katika uwanja wa mkomani eneo bunge la Nyali. Washiriki zaidi ya 1,000 wanahudhuria maonyesho hayo yanayolenga kukuza kilimo cha kisasa na teknolojia.