4 Jun 2026 1:25 pm | Citizen TV 14,008 views Duration: 1:00 Milio ya risasi ilisikika usiku kucha katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu, huku moshi ukionekana kupanda juu ya baadhi ya maeneo ya jiji hilo baada ya mapigano kuzuka kati ya makundi hasimu ya kisiasa.