Skip to main content
Skip to main content

Maraga ampa Rais Ruto siku 7 kuchapisha ripoti ya mageuzi ya polisi ya 2023

  • | NTV Video
    625 views
    Duration: 1:10
    David Maraga amempa Rais William Ruto makataa ya siku saba kuwachilia na kuchapisha ripoti kamili ya kikosi kazi cha polisi kuhusu mageuzi ya polisi iliyowasilishwa kwake Novemba 16, mwaka wa 2023, akionya kuwa iwapo ripoti hiyo haitachapishwa ndani ya siku saba, ataichapisha mwenyewe. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya