Skip to main content
Skip to main content

Maraga ataja ufisadi katika ajira za polisi

  • | Citizen TV
    4,106 views
    Duration: 3:06
    Jaji Mkuu mstaafu David Maraga ameibua tuhuma nzito za ufisadi katika Idara ya Polisi, akidai kuwa ajira zinatolewa kwa kujuana au kwa wanasiasa kujitafutia ushawishi miongoni mwa wananchi. Maraga amezungumza alipozindua rasmi ripoti ya mapendekezo ya Jopokazi kuhusu mageuzi ya polisi aliloongoza mwaka wa 2023. Pia amemshutumu Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja na Mkurugenzi wa DCI Mohammed Amin kwa kusalia afisini licha ya kuwa wamestaafu. Melita Oletenges anaaarifu zaidi.