- 4,011 viewsDuration: 5:48Kongamano la Afrika Forward limeanza rasmi hapa jijini Nairobi. Rais William Ruto ni mwenyeji wa kongamano hilo linalohudhuriwa na marais wa mataifa 20 barani Afrika na pia rais wa Ufaransa Emmanuel Macron. Kongamano hilo ni la kusisimua biashara katika sekta za kawi, muundo msingi, uchukuzi, teknolojia miongoni mwa sekta nyingine barani Afrika. Tayari kikao cha vijana kinaendelea katika Chuo Kikuu cha Nairobi.